• HABARI MPYA

  Jumanne, Mei 28, 2013

  KING KIBADENI AANZA KAZI SIMBA SC ASUBUHI YA LEO KINESI, KIJANA ASALI KUOMBA CHIFU MPUTA AMUONE

  IMEWEKWA MEI 28, 2013 SAA 4:00 ASUBUHI
  Kocha mpya wa Simba SC, Alhaj Abdallah Athumani Seif 'King Kibaden' au Chifu Mputa kulia akiwa na Wasaidizi wake, Jamhuri Mussa Kihwelo 'Julio' (katikati) na Suleiman Abdallah Matola 'Veron' kushoto kwenye Uwanja wa Kinesi, Urafiki, Dar es Salaam asubuhi ya leo wakati kabla ya kuanza usaili wa wachezaji waliojitokeza kuomba kusajiliwa katika timu hiyo. Kibaden ameanza rasmi kazi leo na atasaini mkataba kesho.

  Wazee wa Kijiwe; Jamhuri kulia na Matola kushoto wakiwa nje ya Uwanja wakiangalia vijana waliojitokeza kuomba kusajiliwa Simba SC wakati wanacheza kuonyesha vipaji vyao

  Mchezaji wa kiungo aliyewahi kuchezea timu ya taifa ya vijana chini ya Jamhuhi  Kihwelo, Samuel Ngassa naye amejitokeza kuomba nafasi Simba SC

  Matola akimpa taarifa muhimu Kibadeni, anayeandika

  Kibadeni kulia na Matola aliyeipa mgongo kamera ya BIN ZUBEIRY 

  Tabasamu mwanana; Kibadeni akifurahia kazi mpya Simba SC

  Katibu wa Simba SC, Evodius Mtawala kulia na Meneja wa timu za vijana za Simba SC, Patrick Rweyemamu kushoto

  Mungu nisaidie Kibadeni anione; Mmoja wa vijana waliojitokeza kujaribu bahati zao Simba SC, Adeyoum Saleh Ahmed kutoka Miembeni ya Zanzibar akisali kabla ya kuanza kwa usaili

  Sala inaendelea

  Anamalizia sala

  Anafunga sala

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: KING KIBADENI AANZA KAZI SIMBA SC ASUBUHI YA LEO KINESI, KIJANA ASALI KUOMBA CHIFU MPUTA AMUONE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top