• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 26, 2013

  KIPA HUYU WA YANGA SC SASA NI 'OFISA' WA IKULU

  IMEWEKWA MEI 26, 2013, SAA 2:00 USIKU
  Unamkumbuka?Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Juma Kaseja kulia ambaye ni kipa namba moja wa timu hiyo na klabu ya Simba SC, akiwa na kipa wa zamani wa Yanga SC (2000-2003), Matokeo Lucas katika viwanja vya Ikulu, mjini Dar es Salaam Alhamisi wiki hii, wakati wachezaji wa Taifa Stars walipozuru Ikulu kwa mwaliko wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Matokeo kwa sasa ni mtumishi wa Ikulu, katika kitengo cha Udereva.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: KIPA HUYU WA YANGA SC SASA NI 'OFISA' WA IKULU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top