• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 26, 2013

  MARTIN FUNDI NDIYE VODACOM MIC KING 2013

  IMEWEKWA MEI 26, 2013 SAA 2:05 USIKU
  Meneja wa Mahusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kushoto) akimkabidhi ufunguo wa gari mshindi wa The Vodacom Mic King 2013, Martin Fundi. Katikati ni Meneja Matukio wa Dar Live, Abdallah Mrisho. 
  Martin Fundi akifungia mlango wa gari lake.

  ...Akiingia.

  ...Akiliwasha gari lake.

  Mashabiki wakiwa wamelizunguka gari la Martin Fundi.
  Martin Fundi kutoka Kimara usiku wa kuamkia leo ameibuka kidedea katika shindano la The Vodacom Mic King 2013 na kujinyakulia gari jipya aina ya Toyota Funcargo (new model). Shindano hilo lililokuwa likidhaminiwa na Kampuni ya simu ya Vodacom lilidumu kwa takribani miezi sita na usiku wa  kuamkia leo ndiyo limefika tamati.
  (PICHA NA RICHARD BUKOS /GPL)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MARTIN FUNDI NDIYE VODACOM MIC KING 2013 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top