• HABARI MPYA

  Jumatano, Mei 22, 2013

  MAN CITY YAPATA MKATABA MPYA MNONO WA JEZI KUTOKA NIKE NA KUIPIGA CHINI UMBRO


  IMEWEKWA MEI 22, 2013 SAA 8:00 MCHANA
  KLABU ya Manchester City imezindua rasmi udhamini wake mpya wa jezi wa Pauni Milioni 72 na kampuni ya vifaa vya michezo Marekani, Nike sambamba na kuzindua jezi zake za msimu ujao nyumbani mjini New York.
  City ilitangaza mwaka uliopita wataachana na Umbro, ambayo awali ilikuwa inamilikiwa na Nike, baada ya kukubali mkataba wa Pauni Milioni 12 kwa mwaka kwa miaka zaidi yasita.
  New look: Manchester City launched this kit in New York on Tuesday afternoon
  Muonekano mpya: Manchester City wamezindua jezi hizi mjini New York jana mchana
  Trim: The sky-blue jersey is complete with a navy and white lining
  Cha kubana: Jezi ya rangi ya mawingu
  Eye on the ball: James Milner shows off City's new strip in New York
  Jicho kwenye mpira: James Milner akionyesha jezi mpya za City mjini New York
  Eye on the ball: James Milner shows off City's new strip in New York
  Getting involved: Gael Clichy tries the sky-blue strip out for size
  Alikuwepo: Gael Clichy 
  Glimpse: Joe Hart
  Joe Hart
  Kipa namba moja wa England, Joe Hart akiwa na jezi mpya za makipa wa City 
  Samir Nasri
  James Milner
  Samir Nasri na Milner (kulia)
  Watch and learn, Gael: Milner shows his prowess as Clichy watches
  Milner akionyesha uwezo wake wa kuchezea mpira, huku Clichy akimtazama
  Role reversal: Clichy grabs the camera during the photoshoot
  Role reversal: Clichy grabs the camera during the photoshoot
  Clichy akiwa na kamera wakati wa kupiga picha za jezi mpya 
  Thumbs up: Kolo Toure and some other City players visited the New York Fire Department
  Kolo Toure na wachezaji wengine wa City walipotembelea Idara ya zimamoto ya New York
  Trying on the headgear: Maicon, Richard Wright, Emyr Huws, Dedryck Boyata, Micah Richards, Gareth Barry, Joleon Lescott, Albert Rusnak , Karim Rekik and Kolo Toure visit FDNY
  Maicon, Richard Wright, Emyr Huws, Dedryck Boyata, Micah Richards, Gareth Barry, Joleon Lescott, Albert Rusnak, Karim Rekik na Kolo Toure walipotembelea FDNY
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MAN CITY YAPATA MKATABA MPYA MNONO WA JEZI KUTOKA NIKE NA KUIPIGA CHINI UMBRO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top