• HABARI MPYA

    Thursday, April 04, 2013

    MZEE KINANA AONGOZA MAZISHI YA FATMA MDOE LEO DAR ES SALAAM, NI MSIBA MZITO

    Mwili wa marehemu Fatma Mdoe (picha ndogo kulia), aliyerfariki dunia jana mjini Dar es Salaam ukiteremshwa kutoka kwenye jeneza katika makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam tayari kwa mazishi jioni ya leo.

    Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akichukua koleo kwa ajili ya kuweka mchanga katika kaburi la marehemu Fatma Mdoe wakati wa mazishi yake kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam jioni ya leo.

    Mzee Kinana akirejesha koleo baada ya kutupia mchanga...

    Waombolezaji...

    Waombolezaki King Kiff na Mzee Yussuf...

    Kaburi la marehemu tayari kwa mwili wake kuhifadhiwa kwenye nyumba yake ya milele 

    Shekhe akitoa hotuba kabla ya mazishi...
    Mhariri Mtendaji wa gazeti la Mwanaspoti, Frank Sanga (kushoto) akiwa na Kaimu Mhariri Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Bakari Machumu kulia katika mazishi hayo. Marehemu Fatma alikuwa mke wa Mjumbe wa Bodi ya MCL, Mohamed Rweyemamu. 


    Wadogo wa marehemu; Saidy Mdoe na Sunday kulia katika huzuni makaburini

    Meneja Mkuu wa Global Publishers Limited...Abdallah Mrisho 'Abby Cool' (mwenye miwani) alikuwepo msibani... 

    Ndugu, jamaa na marafiki waliojitokeza kumsindikiza mpendwa wao Fatma katika safari yake ya mwisho...

    Ally Mafruk kulia na kaka wa marehemu, Juma Mdoe kushoto

    Ndugu na jamaa wakimsaidia Saidy Mdoe kutoka kaburini baada ya kuuhifadhi mwili wa marehemu

    Hapa wanamsaidia Sunday Mdoe...

    Mzee Chillo kulia alikuwa mmoja wa walioguswa na msiba huo...

    Waombolezaji...
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MZEE KINANA AONGOZA MAZISHI YA FATMA MDOE LEO DAR ES SALAAM, NI MSIBA MZITO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top