• HABARI MPYA

    Friday, June 15, 2012

    NYOTA WA BARCELONA, REAL MADRID KOCHA MPYA SWANSEA


    Michael Laudrup, Mallorca (Getty Images)
    KLABU ya Swansea City imethibitisha kumteua Michael Laudrupas (pichani) kuwa kocha wao mpya, BIN ZUBEIRY imeinasa hiyo kutoka Goal.com.Kiungo huyo wa zamani wa Barcelona na Real Madrid, ambaye awali alizinoa Bronby, Getafe, Spartak Moscow na zaidi siku za karibuni alikuwa Real Mallorca, amesaini mkataba wa miaka  miwili kupiga mzigo Uwanja wa Liberty.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NYOTA WA BARCELONA, REAL MADRID KOCHA MPYA SWANSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top