• HABARI MPYA

  Wednesday, June 27, 2012

  JOSE CHAMELEON AJA DAR TAMASHA LA SABASABA


  Msanii wa Uganda, Jose Chameleone (pichani juu) leo amkamilisha taratibu zote za kusaini mkataba wa kufanya shoo kali Uwanja wa Taifa mpya, jijini Dar es salaam, siku ya sabasaba baada ya Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho, kutia timu Entebe mapema leo.…
  Msanii wa Uganda, Jose Chameleone (pichani juu) leo amkamilisha taratibu zote za kusaini mkataba wa kufanya shoo kali Uwanja wa Taifa mpya, jijini Dar es salaam, siku ya sabasaba baada ya Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho, kutia timu Entebe mapema leo. Pichani juu ni Chameleone akijigamba kufanya shoo na akisaini mkataba wa mwisho huku akishuhudiwa na meneja wake. Chameleone ametoa onyo kwa Diamond kuwa atamchakaza na Valuvalu!
  PICHA: IRYNE/MRISHO - GPL-ENTEBE - UGANDA

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JOSE CHAMELEON AJA DAR TAMASHA LA SABASABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top