• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 26, 2012

  SBL YAKABIDHI JENERA MWANZA VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO

   Isaya Charles (wa pili kulia), mkazi wa Igoma Jijini Mwanza akionyesha ishara ya dole gumba huku akiwa amejawa na furaha wakati alipokuwa akipokea zawadi ya jenereta kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) mkoani Mwanza Octavian Magire (wa pili kushoto). Isaya alishinda jenereta hiyo baada ya kushiriki promosheni ya "Vumbua Hazina Chini ya Kizibo inayoendeshwa na kampuni hiyo. Wengine katika picha ni wapambe waliomsindikiza mshindi kupokea zawadi yake. 
  Isaya Charles (wa pili kulia) mkazi wa Igoma Jijini Mwanza akipokea zawadi ya jenereta aliyoshinda kupitia promosheni ya "Vumbua Hazina Chini ya Kizibo" inayoendeshwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL). Anayekabidhi zawadi hiyo ni Meneja Mauzo wa SBL mkoani Mwanza Octavian Magire (wa pili kulia).

  Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) mkoani Mwanza, Octavian Magire (kushoto) akitoa maelezo mafupi kuhusiana na promosheni ya "Vumbua Hazina Chini ya Kizibo" inayoendeshwa na kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi ya jenereta kwa mshindi Isaya Charles anayesikiliza (kulia) ambaye ni mkazi wa Igoma Jijini Mwanza.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SBL YAKABIDHI JENERA MWANZA VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top