• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 25, 2012

  ISHA MASHAUZI AWAPA RAHA UHOLANZI


  Msanii wa muziki wa mwambao wa pwani bidada Isha Mashauzi jana
  katika mji wa Den Haag nchini  Uholanzi alikonga nyoyo za mashabiki
  zake pale alipowapa mashauzi yake mashabiki wake.kwa picha zaidi
  bonyeza hapa http://magangaone.blogspot.com
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ISHA MASHAUZI AWAPA RAHA UHOLANZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top