• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 25, 2012

  YANGA WAKIJIFUA UFUKWENI LEO ASUBUHI   Kifaa kipya cha Yanga, Kelvi Yondani
  Mshambuliaji mpya wa Yanga, Simon Msuva (mbele) akiwaongoza wenzake katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye fukwe za Coco jijini Dar es Salaam jana. Wanaomfuatia ni beki mpya wa klabu hiyo,  Kelvin Yondani na Godfrey Taita. (Picha zote na Mpiga Picha wa Habari Mseto Blog).
   Nurdin Bakari akijifua.
  Baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiwa katika mazoezi.

  Wachezaji wa Yanga wakiwa katika mazoezi mepesi ya kujiandsaa na mashindano ya Kagame Cup  yanayotarajiwa kuanza Julai 14 jijini Dar es Salaam.
   Nizar Khalfan akiwa katika mazoezi na timu yake mpya ya Yanga katika ufukwe wa Coco Oysterbay jijini Dar es salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA WAKIJIFUA UFUKWENI LEO ASUBUHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top