• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 25, 2012

  MSOMI SAUT APEWA USAFIRI NA SBL

  MENEJA Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Kanda ya Ziwa, Patrick Kisaka (kulia) akitoa maelezo mafupi muda mfupi kabla ya kukabidhi zawadi ya pikipiki aina ya bajajI kwa Mariam Karumba, mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo cha Mtakatifu Augustino (SAUT).

  MENEJA Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Kanda ya Ziwa, Patrick Kisaka (kushoto) akikabihi funguo za bajaji kwa Mariam Karumba, mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo cha Mtakatifu Augustino (SAUT), baada ya kujishindiakatika promosheni ya Vumbua Hazina chini ya Kizibo, inayoendeshwa na SBL nchini kote.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MSOMI SAUT APEWA USAFIRI NA SBL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top