• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 27, 2012

  WAWILI ZAIDI WANEEMEKA NA SBL VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO


  Meneja wa bia ya Serengeti Bw. Allan Chonjo akitangaza majina ya washindi wa promosheni ya Vumbua Dhahabu chini ya Kizibo inayoendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti SBL katika makao makuu ya kampuni hiyo Oysterbay, kulia ni Tumainieli Malisa kutoka PWC na kushoto ni Abukary kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha.

  Meneja wa bia ya Serengeti Bw. Allan Chonjo akiongea na mshindi wa pikipikiwakati alipompigia simu kumtaarifi juu ya ushindi wake, kulia ni Joyce Mwijage kutoka kampuni ya bia ya Serengeti, kushoto ni Tumainieli Malisa kutoka PWC na nyuma aliyesimama ni Abubakary kutoka Bodi ya michezo ya kubahatisha
  Washindi wa leo katika droo  ya saba ni Baltazar Protas kutoka Temeke Dar es Salaam ambaye amejishindia jenereta, na Vicent Lymo kutoka Kibosho Kilimajaro ambaye amejinyakulia pikipiki mpya kwa mara ya pili mfululizo.

  SOURCE: FULL SHANGWE
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WAWILI ZAIDI WANEEMEKA NA SBL VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top