• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 26, 2012

  MAMA SALMA KIKWETE KATIKA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA


  Dilip Musale(kushoto), Dk.Alex Lengeju, Innocent Suta na Mama salma

  Mama Salma akipokea zawadi kutoka kwa mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya sadolin nchini ambao walijitolea kupaka rangi vijiji vyote vya watoto yatima  hapa nchini. (1)

  Mama Salma baada ya kupokea zawadi

  Anamlisha keki

  TUKIO LILIFANYIKA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA KILICHOKO BARABARA YA SAMNUJOMA KARIBU NA JENGO LA MAWASILIANO TOWERS JIJINI DAR
  KATIKA MAADHIMISHO YA KUANZAISHWA KWA SOS DUNIANI TAR 21/JUNE/2012 KIPOANZISHWA NA DR HERMANN GMEINER MWAKA 1984 HUKO UJERUMANI
  PICHA MAMA SALMA AKIWA AMESIMAMA KARIBU NA MTI UNAOMWAGILIWA NI BAADA YA KUUPANDA MTI HUO KIJIJINI HAPO KAMA ISHARA YA MATUMAINI KWA WATOTO HAO


  Mama Salma

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAMA SALMA KIKWETE KATIKA KIJIJI CHA WATOTO YATIMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top