• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 25, 2012

  OMOTOLA ATEMBELEA WATOTO YATIMA DAR


   AMETUA JANA USIKU, LEO ALITEMBELEA KITUO CHA TANZANIA MITINDO HOUSE

                                      DA KHADIJA MWANAMBOKA MWENYEKITI WA TMH ALIKUWEPO KUMKARIBISHA

                                         OMOTOLA KASIMAMAKIUKWE'E

   ALIPOKELEWA SHURTI KWA MAUA

                                    BAADA YA KUTOKA TMH, TULIELEKEA NYUMBANI KWA WEMA AMBAPO OMOTOLA ALIKULA CHAKULA CHA MCHANA NA WATOTO


  MADINI YA WEMA UNG'ARO  HAYOO

   NIKIRIPOTI KUTOKA TANZANIA MITINDO HOUSE NI
   SHAMIM MWASHA 
  WA 8020 FASHION
  wataka muonekano wangu.....top::bongoshopaholicsuruali::8020 fashions,shoe::ahsante Juliet (SOURCE; 8020 Fashions Blog)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: OMOTOLA ATEMBELEA WATOTO YATIMA DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top