• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 26, 2012

  BREAKING NEWS; GIROUD ATUA ARSENAL


  KLABU ya Arsenal imetangaza kumsajili mwanasoka wa kimataifa wa Ufaransa, Olivier Giroud (pichani) kwa mkataba wa muda mrefu. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 25 amekamilisha vipimo vya afya kabla ya kusaini mkataba katika Uwanja wa mazoezi jana jioni London. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BREAKING NEWS; GIROUD ATUA ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top