• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 25, 2012

  CHEKI SWAGA ZA KELVIN YONDAN JANGWANI, HALAFU MCHEKI SHAROBARO

  Beki mpya wa Yanga, Kelvin Patrick Yondan akiwa amevalia kiraia baada ya mazoezi, makao makuu ya klabu, Jangwani jioni ya leo, tayari kurejea nyumbani kupimzika, Kijana tayari amekwishakuwa mwenyeji.

  Kipa wa Yanga, Said Mohamed, anayeongoza kwa sasa klabuni kwa kunyuka pamba na swaga za kijanja, akiwa juu ya klabu, baada ya mazoezi ya jioni.
  BIN ZUBEIRY hapa nikiwa na mido hatari bongo, Frank Damayo baada ya mazoezi ya jioni Jangwani

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHEKI SWAGA ZA KELVIN YONDAN JANGWANI, HALAFU MCHEKI SHAROBARO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top