• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 30, 2012

  IRENE NDIYE MISS UBUNGO 2012  Miss Ubungo 2012, Irene Sizari akiwa na washindi wake wa pili kushoto Mwaniumy Mustafa na wa tatu kulia Antonia Nyagunda wa tatu, baada ya shindano hilo
  Irene anavishwa taji
  Wakubwa na wanao

  Na Princess Asia
  KIMWANA Irene Sizari usiku wa kuamkia leo ameibuka Miss Ubungo 2012 katika shindano lililofanyika kwenye ukumbi wa Landmark, Ubungo akiwashinda washiriki wenzake 14.
  Katika onyesho hilo lililosindikizwa na burudani ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’, Mwaniumy Mustafa aliibuka mshindi wa pili, Antonia Nyaragunda wa tatu, Wema Mwanga wanne na Joyce Raphael wa tano.
  Wasichana wote watano wamejikatia tiketi ya kushiriki shindano la Miss Kinondoni Agosti, mwaka huu na baada ya hapo, Miss Tanzania, Novemba mwaka huu.
  Meza ya wakuu


  Majaji
  Rutta na Vimwana


  Nyoshi kulia na Patcho


  Toto Kalala


  Wazee wa Ngwasuma jukwaani
  Wanenguaji wa Ngwasuma wakicheza Mundes


  Ngwasuma


  Dina Ismail


  Mkurugenzi Hashima Lundenga kulia na mlimbwende


  Mkuu wa Itifaki Miss Tanzania, Makoye na mlimbwende


  Warembo woooooooteeeeeeeee


  Kimwana anapiga kazi


  Jaji Mkuu Sinta


  Dina Ismail


  Sinta


  Sinta


  Top 5


  Anko Hashim akitoa 'darasa'


  Mnenguaji wa Ngwasuma
  Dina \na nani sijui

  'Wanazi' wa Toto African, 

  Rutta na Makoye kulia

  Mauno ya Ngwasuma

  BIN ZUBEIRY na 'totoz'

  Rafiki yake Dina


  Sharobaro akifanya vituuuuuuuz

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: IRENE NDIYE MISS UBUNGO 2012 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top