• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 25, 2012

  SHOO YA CLUB E ILIVYOBAMBA


  Mwanamuziki nyota, Judith Wambura 'Lady Jay Dee' akiwatumbuiza wanachama wa Club E na wageni wengine waalikwa, wakati wa hafla maalumu iliyokwenda kwa jina la ‘Club E Hollywood Glam Night’ kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.   Ali Kiba akilishambulia jukwaa.


  Dj mkongwe nchini, Bonny Luv ndiye aliyekuwa injini ya jukwaa.


  Wanachama wa Club E wakiserebuka.


  Diamond Platinum akionyesha vitu vyake.

  Wasanii chipukizi nao walikuwepo.

  Mkongwe Lady Jay Dee.


  Sehemu wa wanachama ya Club E na wageni wengine waalikwa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SHOO YA CLUB E ILIVYOBAMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top