• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 24, 2012

  MASHALI AMTWANGA TKO MAISHA WA MBEYA

  Bondia Thomas Mashali baada hya kutetea ubingwa wake wa TPBO kwa kumpiga Samson Maisha kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya tano usiku huu kwenye ukumbi wa Friends Rangers, Manzese, Dar es Salaam katika pambano la uzito wa Middle.


  Konde la Maisha likimuingia Mashali 


  Maisha anakumbatia, refa anawaachanisha


  Wanaume wanachapana


  Wanachapana


  Mara baada ya kupanda ulingoni, wanapewa mwongozo na refa wakiwa na wasaidizi wao. mwenye kofia ni mtoto wa Mashali


  Abdallah Mohamed kushoto akichapana na Yohana Mathayo kulia katika pambano la uzito wa Middle. Abdallah 'Prince Naseem' alishinda kwa pointi


  Juma Fundi kushoto akivuta kasi kumchapa Shaaban Madilu kulia. Fundi alishinda kwa pointi.


  Yona Godfrey kushoto akizuia konde la Venance Mponji. Yona alishinda kwa pointi.


  Anaondoka ulingoni baada ya kichapo


  Maisha akijikokota kuinuka baada ya kuangushwa na Mashali raundi ya tano


  Wanaume kazini


  Wanaume kazini

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MASHALI AMTWANGA TKO MAISHA WA MBEYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top