• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 24, 2012

  OMOTOLA APENDEZESHA UZINDUZI FILAMU YA WEMA USIKU WA JANA


  Wema Sepetu "Superstar"
                           
  Chalz Baba na Steve Nyerere walikuwepo kutoa sapoti kwa msanii mwenzao

  Vijana kutoka mjengoni nao walihudhuria
  Barnaba akiwa na Dida, Shilole na Mainda
  Wanamuziki AY na MwanaFA walikuwa ni baadhi ya wasanii wachache wa Bongo Fleva waliobahatika kuwepo kwenye usiku wa Wema Sepetu

  Miriam Odemba akifanyiwa interview na Shadee

  Shaa akifanyiwa mahojiano na Shadee wa Clouds TV

  Mwanamuziki Shaa nae alikuwepo

  Ray Kigosi na Richie walikuja kumsapoti Wema
  Wema Sepetu akiwa na Mange Kimambe na Miriamu Odemba wakimsubiri Omotola Jalade kutoka Nigeria uwanja ndege Mwalimu JK Nyerere.
  Mgeni akawasili - Mwigizaji wa Nigeria Omotola Jalade akiwasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere alfajiri hii.

  Wema Sepetu na Omotola wakiondoka Uwanja wa Ndege baada ya Omotola kuwasili kutoka Nigeria.

  Omotola akiwa na Miriam Odemba  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: OMOTOLA APENDEZESHA UZINDUZI FILAMU YA WEMA USIKU WA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top