• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 27, 2012

  FLY540 WAFAFANUA NA KUOMBA RADHI WATEJA WAO

  Meneja mkuu wa shirika la ndege la Fly540 bw. Brown Francis kushoto akizungumza katika mkutano navyombo vya Habari jijini Dar es Salaam leo katika wakati akiomba radhi kwa wateja wake kutokana na tatizo lilitokea wiki iliyopita na kupelekea abiria wake kuchelewa katika safari yao, baada ya ndege waliyokuwa wasafiri nayo kupata hitilafu. Kulia ni Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Bi .Jean Uku.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FLY540 WAFAFANUA NA KUOMBA RADHI WATEJA WAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top