• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 29, 2012

  KHITMA YANGA YAISHA SALAMA 'ALHAMDULILLAH'

  Hitima Yanga imekwishasomwa, iliongozwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum. Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Wakili Imani Omar Madega, Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti katika uchaguzi wa Julai 15, Clement Sanga walikuwapo. Sasa watu wanakula, BIN ZUBEIRY anaondoka eneo la tukio.

  Waungwana baada ya kisomo wakisubiri sadaka

  Sheikh Mussa kulia, kushoto ni Katibu wake Almasi lailly Mussa na nyuma yao ni mwanachama wa Yanga, Mustafa Mohamed, Katibu wa Tawi la Kurasini

  Madega kulia, akiwa na Sanga kushoto kwake

  Waungwana wakisubiri sadaka baada ya dua

  Katibu wa Yanga, Celestine Mwesigwa kulia, Madega na Sanga

  Sheikh Mussa katikati, kulia Juma Mnonji mwanachama wa Simba, na kushoto Katibu wake, Almasi

  Waungwana baada ya dua wakisubiri sadaka 


  Maandalizi ya hitima katika klabu ya Yanga, makao makuu wa klabu, makutano ya mitaa ya twiga na Jangwani yanaendelea muda huu. Mboga zinakaribia kuiva, mchele umekwishaanza kuoshwa. Ng’ombe wawili wako jikoni. Ibada ya hitima yenyewe inakaribia kuanza kusomwa.

  Akina mama wakichambua mchele


  Akina mama wakichambua mchele
  Eneo la kusomea ibada ya hitima


  Waungwana tayari kwa kisomo cha hitima


  Mwanachama maarufu wa Simba, Mzee Juma Mnonji wa tatu kutoka kushoto akiwa kwenye hitima kama mmoja wa wageni waalikwa
  Masufuria jikoni


  Jamaa anatengeneza viungo


  Ng'ombe anaiva

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KHITMA YANGA YAISHA SALAMA 'ALHAMDULILLAH' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top