• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 27, 2012

  GARETH BALE AJITIA KITANZI MIAKA MINNE WHITE HART LANE


  EPL, Gareth Bale, Tottenham Hotspur v Swansea City
  Gareth Bale
  KLABU ya Tottenham imetangaza kwamba Gareth Bale amesaini mkataba mpya wa miaka minne, ambao utamuweka White Hart Lane hadi 2016, wameandika Goal.com. Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Wales, kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa na habari za kuhama klabu hiyo kwenda Manchester United na Barcelona ambazo ziliripotiwa kumtaka nyota huyo mwenye umri wa miaka  22.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GARETH BALE AJITIA KITANZI MIAKA MINNE WHITE HART LANE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top