• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 28, 2012

  MPANGO MZIMA SERENGETI FIESTA 2012


  Meneja Mipango na Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta 2012, Sebastian Maganga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati wa uzinduzi wa tamasha hilo uliofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam. Kushoto Meneja kampeni wa kampuni ya Push Mobile Media, Rugambo Roeney, Meneja wa Bia ya Serengeti, Allan Chonjo na Mkuu wa Masoko Gapco, Ben Temu.  
   Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Mwasiti Almasi akihojiwa na mtangazaji wa Clouds Tv,  Millard Ayo
   Baadhi ya zawadi 
   Meneja kampeni wa kampuni ya Push Mobile Media, Rugambo Roeney  akimkabidhi mtangazaji wa Radio Clouds, Barbara Hassan namba 15555 zitakazotumika wakati wa kutuma ujumbe mfupi kwa ajili ya kushindania magari na pikipiki, wakati wa uzinduzi wa tamasha la fiesta 2012 uliofanyika katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam
   Millard Ayo akifanya mahojiano na wadau waliofika katika viwanja vya Leaders kushuhudia uzinduzi wa  tamasha la fiesta 2012
   Wadau
                                                                                          Millard Ayo  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MPANGO MZIMA SERENGETI FIESTA 2012 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top