• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 29, 2012

  WEMA GANI ALIKUWA WEMA WAKO?

  Hizi ni picha tofauti za mcheza filamu nyota wa kike Tanzania, Wema Abrahamu Sepetu kuanzia anashiriki shindano la Miss Dar Indian Ocean mwaka 2006, Miss Kinondoni, Miss Tanzania na Miss World hadi sasa. Je, ni Wema wa wakati gani alikuvutia zaidi na kwa sababu gani? Toa maoni yako mdau.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WEMA GANI ALIKUWA WEMA WAKO? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top