RADO AKITOA MSAADA KWA WATOTO, NI MFANO WA KUIGWA KWA WASANII NA WANAJAMII WENGINE WOTE
Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata (Rado) (kushoto) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa mtoto wa shule ya Buguruni Viziwi, Isack Ntira, Dar es salaam jana msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushilikiana na kampuni ya Steps Entatainment kulia ni Ibrahim Mbena.
0 comments:
Post a Comment