• HABARI MPYA

    Saturday, December 08, 2018

    SALAH APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAIFUMUA BOURNEMOUTH 4-0

    Mohamed Salah akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Liverpool hat-trick kwa mabao ya dakika za 25, 48 na 77 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Vitality. Bao lingine la Liverpool limefungwa na Steve Cook aliyejifunga dakika ya 68  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SALAH APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAIFUMUA BOURNEMOUTH 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top