• HABARI MPYA

  Tuesday, December 11, 2018

  LIVERPOOL KATIKA MTIHANI MGUMU ULAYA LEO KWA NAPOLI

  Wachezaji wa Liverpool, Mohamed Salah (kushoto) na Dejan Lovren wakifurahia wakati wa mazoezi ya jana kuelekea mchezo wa leo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya leo dhidi ya Napoli Uwanja wa Anfield. Livepool inahitaji ushindi ili kupata nafasi ya kuingia hatua ya 16 Bora 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL KATIKA MTIHANI MGUMU ULAYA LEO KWA NAPOLI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top