• HABARI MPYA

  Monday, December 03, 2018

  SPORTPESA YAENDELEA KUBORESHA MAISHA YA WATANZANIA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
  UNAFAHAMU Promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa tayari imekabidhi bajaj 74 kwa Watanzania ambao hivi sasa maisha yao yamebadilika na kuwa ya juu kutokana na kujiongezea kipato kupitia bajaj wanazoshinda.
  Unataka na wewe uwe mmoja wa Watanzania walioboresha maisha yao? Ni rahisi sana unachotakiwa kubashiri matokeo ya michezo kupitia SportPesa pekee.
  Kwani bado bajaj 26 zimebakia kwa washindi wa michezo ya kubashiri ya SportPesa, hivyo kama unataka ni kuanza kuweka ubashiri wako hivi sasa kupitia SportPesa.
  Katika mahojiano maalum na Meneja Uhusiano wa SportPesa, Sabrina Msuya ameizungumzia promosheni hiyo inayoendelea hapa nchini.

  Unaizungumziaje mwitikio wa promosheni
  “Ipo kubwa tofauti na mwaka jana ambayo ilianza kutokana na mwitikio mkubwa wa Watanzania wengi kubashiri michezo mbalimbali kupitia SportPesa.
  “Hivyo, kutokana na mwitikio huo mkubwa tumeona tuongeze zawadi nyingine tofauti na bajaj hizo tunazozitoa na lengo ni kuwanufaisha Watanzania.
  Washindi sita kwenda Hispania, Uingereza
  “Ni kati ya zawadi tutakazozitoa kupitia promosheni hii ya Shinda Zaidi na SportPesa, tofauti na bajaj tumepanga kutoa tiketi kwa washindi wetu kwenda kuangalia baadhi ya mechi za Ligi ya Uingereza na Hispania.
  “Tiketi sita ndiyo tulizopanga kuzitoa kwa washindi wetu, wakiwa huko SportPesa itawagharamia kila kitu ikiwemo chakula, malazi na usafiri wa ndani kwa kipindi chote watakachokaa huko.
  “Na sisi ndiyo tutakaochagua mechi za kwenda kuzitazama huko Uingereza na Hispania, hivyo ubashiri ndiyo utakaowawezesha wao kupata nafasi ya kwenda huko kutazama ligi kubwa.
  “Na washindi hao watasafiri kwenda kushuhudia ligi hizo Januari, mwakani baada ya promosheni hiyo kufikia kilele mwishoni mwa mwaka huu. 
  “Zawadi nyingine tuliyoiongeza ya jezi za Simba na Yanga na simu za smartphone ambazo zinaendelea kutolewa kila siku kwa washindi wetu wanaoweka ubashiri wao kupitia SportPesa.
  Utofauti upoje mwaka huu na mwaka jana
  “Upo mkubwa na hilo limedhihirisha kutokana na washindi kupatikana kutoka mikoa mipya na hiyo imeonyesha ni jinsi gani watu wengi wanabashiri kupitia SportPesa.
  “Mwaka huu washindi wengi wametoka mikoa Mara, Dar es Salaam, Morogoro, Mwanza, Kigoma na Tanga lakini mwaka wa jana washindi wa bajaj wanatoka Makambako, Newela, Arusha ambao ulitoa bajaj zaidi ya 20.

  Washindi waliopita wamefaidika vipi na promosheni hiyo?
  “Kiukweli kabisa tunajivunia kama SportPesa, kwa kupitia promosheni hii tumefanikiwa kubadili maisha kwa Watanzania kupitia ushindi wao wa ubashiri wa matokeo.
  “Mabadiliko yapo mengi kati ya hayo ni wamenunua viwanja na wengine wamejenga nyumba kwa kupitia bajaj wanazoshinda kupitia promosheni hii inayoendelea.
  “Wengine wanawalipia ada watoto zao ambalo ndiyo jambo la msingi kuona watu wakiendelesha familia zao kupitia ubashiri wao.
  “Promosheni hii inatoa ajira kwa Watanzania, kwani wapo baadhi ya washindi ni waajiriwa wanaposhinda bajaj wanapa watu wawafanyie biashara, hivyo utaona ni jinsi gani hapo tumehusika katika kuajiri. 

  “Pia, tumewasaidia Watanzania kujifunza mbinu za kufanya biashara kwani kabla ya kushinda bajaj hizo walikuwa hawafanyi biashara zozote, lakini wanaposhinda wanaanza kujifunza kufanya biashara kwa kupitia hizo bajaj.
  Malengo yenu ni yapi?
  “Ni kuona Watanzania wengi wakibadili maisha yao kupitia promosheni hii inayoendelea hapa nchini na kikubwa ni kuona wakifanya ujenzi wa nyumba, kununua viwanja na kuendeleza familia zao kupitia ushindi wa ubashiri wa matokeo kutoka SportPesa.
  “Na hilo linawezekana kabisa, kikubwa wanachotakiwa kuanza kubashiri kuanzia leo na baada ya muda mchache wataona mabadiliko baada ya kushinda kupitia SportPesa.
  “Kwani tayari tumewashuhudia Watanzania wakibadili maisha yao kupitia ubashiri huu unaoendelea ambao hivi sasa wanamiliki viwanja na nyumba kutokana na kipato wanachokipata kutokana na bajaj zao wanazoshinda.
  Jinsi ya kujiunga na SportPesa
  “Ili kujiunga na SportPesa, piga *150*87# au bofya www.sportpesa.co.tz kubashiri mechi kali kila siku kuanzia Sh. 1000 TU ukiwa na simu yoyote ya mkononi.
  Jackpot yapanda
  “Wiki hii Jackpot yetu imepanda mpaka shilingi 412,871,420/= ambapo mteja akibashiri kwa usahihi mechi 13, anazawadiwa bonasi kwa watakaobashiri kwa usahihi kuanzia mechi 10 hadi 12.  
  Huduma kwa wateja 
  0764115588
  0685115588
  0692115588
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPORTPESA YAENDELEA KUBORESHA MAISHA YA WATANZANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top