• HABARI MPYA

  Saturday, September 17, 2016

  SANCHEZ AFUNGA MAWILI, ARSENAL YAITANDIKA 4-1 HULL CITY

  Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez akishangilia bao lake la pili katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Hull City Uwanja wa KCOM. Sanchez alifunga dakika za 17 na 83, wakati mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Theo Walcott dakika ya 55 na Granit Xhaka dakika ya 90 na ushei, huku la wenyeji likifungwa na Robert Snodgrass kwa penalti dakika ya 79, baada ya kipa Petr Cech kumchezea rafu Dieumerci Mbokani kwenye boksi. Beki wa Hull, Jake Livermore alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuzuia shuti la Francis Coquelin kwa mkono PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANCHEZ AFUNGA MAWILI, ARSENAL YAITANDIKA 4-1 HULL CITY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top