• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 22, 2019

  ROONEY ALIMWA KADI NYEKUNDU DC UNITED IKICHAPWA 2-1 MAREKANI

  Mshambuliaji Wayne Rooney akiondoka uwanjani baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 24 timu yake, D.C. United ikichapwa 2-1 na New York Red Bulls katika mchezo wa Ligi Kuu ya Marekani Uwanja wa Audi Field mjini Washington DC hiyo ikiwa kadi ya pili nyekundu kwake tangu ahamie Marekani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ROONEY ALIMWA KADI NYEKUNDU DC UNITED IKICHAPWA 2-1 MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top