• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 18, 2019

  CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA LEICESTER CITY ENGLAND

  Chipukizi wa England, Mason Mount akiifungia Chelsea bao la kuongoza dakika ya saba baada ya kiungo mwenzake, Mnigeria Wilfred Ndidi wa  Leicester City kuanguka timu hizo zikitoka sare ya 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao la kusawazisha la Leicester City limefungwa na Ndidi dakika ya 67 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA LEICESTER CITY ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top