• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 19, 2019

  AZAM FC WAENDELEA NA MAZOEZI KUJIANDAA NA MCHEZO WA MARUDIANO DHIDI YA FASIL KENEMA

  Wachezaji wa Azam FC wameendelea na mazoezi kwa siku ya pili, wakijiweka sawa kuelekea mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia, itakayofanyika Uwanja wa Azam Complex Jumamosi hii saa 10.00 jioni.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC WAENDELEA NA MAZOEZI KUJIANDAA NA MCHEZO WA MARUDIANO DHIDI YA FASIL KENEMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top