• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 24, 2019

  MAN UNITED BADO 'UGONJWA WA MOYO' YAPIGWA 2-1 NA PALACE

  Patrick van Aanholt akiifungia bao la ushindi Crystal Palace dakika ya 90 na ushei ikiilaza 2-1 Manchester United leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford. Jordan Ayew alianza kuifungia dakika ya 32, kabla ya Daniel James kuisawazishia Man United dakika ya 89 katika mchezo ambao Marcus Rashford alikosa penalti dakika ya 70 baada ya Scott McTominay kuchezewa rafu na Luka Milivojevic 
  Baada ye United walilalamika kunyimwa penalti baada ya Rashford kuchezewa rafu na Martin Kelly kwenye boksi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED BADO 'UGONJWA WA MOYO' YAPIGWA 2-1 NA PALACE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top