• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 24, 2019

  SALAH APIGA MBILI LIVERPOOL YAWABAMIZA ARSENAL 3-1 ANFIELD

  Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika za 49 kwa penalti na 58 katika ushindi wa Liverpool wa 3-1 dhidi ya Arsenal leo Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la kwanza la Liverpool limefungwa na Joel Matip dakika ya 41 na bao pekee la Arsenal limefungwa na Lucas Torreira dakika ya 85 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SALAH APIGA MBILI LIVERPOOL YAWABAMIZA ARSENAL 3-1 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top