• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 25, 2019

  AGUERO AFUNGA MABAO MAWILI MAN CITY YASHINDA 3-1 ENGLAND

  Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika za 15 na 64 katika ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Bournemouth Uwanja wa Vitality. Bao la pili la Man City limefungwa na Raheem Sterling dakika ya 43, wakati la Bournemouth limefungwa na Harry Wilson dakika ya 45 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AGUERO AFUNGA MABAO MAWILI MAN CITY YASHINDA 3-1 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top