• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 31, 2019

  REFA AWANYIMA PENALTI MAN UNITED WATOA SARE 1-1 NA SOUTHAMPTON

  Mason Greenwood wa Manchester United akiwa chini kwenye boksi baada ya kuangushwa na Pierre-Emile Hojbjerg wa Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England timu hizo zikitoka sare ya 1-1 leo Uwanja wa St. Mary's 1-1. Hata hivyo, refa Mike Dean hakutoa penalti ingawa dakika ya 73 alimtoa kwa kadi nyekundu Kevin Danso wa Southampton kufuatia kumuonyesha kadi ya pili ya njano. Man United walitangulia kwa bao la Daniel James dakika ya 10 kabla ya Jannik Vestergaard kuwasawazishia wenyeji dakika ya 58 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REFA AWANYIMA PENALTI MAN UNITED WATOA SARE 1-1 NA SOUTHAMPTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top