• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 17, 2019

  MANE, FIRMINO WAFUNGA LIVERPOOL WAICHAPA SOUTHAMPTON 2-1

  Mshambuliaji Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St Mary's. Bao la pili la Liverpool limefungwa na Roberto Firmino dakika ya 71 kabla ya Danny Ings kuifungia Southampton bao la kufutia machozi dakika ya 83 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MANE, FIRMINO WAFUNGA LIVERPOOL WAICHAPA SOUTHAMPTON 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top