• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 15, 2019

  ADRIAN ALIVYOPANGUA MKWAJU WA PENALTI WA TAMMY ABRAHAM

  Kipa Mspaniola, Adrian San Miguel del Castillo akipangua mkwaju wa penalti wa Tammy Abraham kuiwezesha Liverpool kutwaa taji la Super Cup la UEFA baada ya kuifunga Chelsea kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 120 usiku wa jana Uwanja Vodafone Arena mjini İstanbul, Uturuki. Adrian ni kipa wa pili, ambaye jana alianza kwa sababu kipa wa kwanza, Alisson ni majeruhi baada ya kuumia kwenye mechi dhidi ya Norwich Ijumaa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ADRIAN ALIVYOPANGUA MKWAJU WA PENALTI WA TAMMY ABRAHAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top