• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 17, 2019

  REAL MADRID YAANZA VYEMA LA LIGA, YAICHAPA CELTA VIGO 3-1

  Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 12 akimalizia krosi ya winga Gareth Bale katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Celta Vigo kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Abanca-Balaidos mjini Vigo. Mabao mengine ya Real Madrid yamefungwa na Toni Kroos dakika ya 61 na Lucas Vazquez dakika ya 80, wakati la kufutia machozi la Celta Vigo limefungwa na Iker Losada dakika ya 90 na ushei 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAANZA VYEMA LA LIGA, YAICHAPA CELTA VIGO 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top