• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 23, 2019

  AISHI MANULA AANZA MAZOEZI SIMBA SC IKIJIANDAA KUIVAA UD SONGO JUMAPILI TAIFA

  Kipa namba moja wa Simba SC, Aishi Manula aliyekosekana mwezi wote huu kutokana na maumivu akifanya mazoezi mepesi kuelekea mchezo na UD Songo ya Msumbiji katika Ligi ya Mabingwa Afrika Jumapili   
  Aishi Manula hakuwepo kwenye mchezo wa kwanza Simba ikilazimisha sare ya 0-0 ugenini  
  Kurejea kwa Aishi Manula ni habari njema kwa klabu yake 
  Wachezaji wengine wa Simba wakiwa mazoezini uwanja wa Gymkhana
  Simba SC inahitaji ushindi wa nyumbani baada ya sare ya ugenini kwenye mchezo wa kwanza 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AISHI MANULA AANZA MAZOEZI SIMBA SC IKIJIANDAA KUIVAA UD SONGO JUMAPILI TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top