Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo mabao mawili dakika za 18 kwa penalti na 67 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester. Mabao mengine ya United inayofundishwa na kocha Ole Gunnar Solskjaer yalifungwa na Anthony Martial dakika ya 65 na Daniel James dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
BMW Championship 2022: Adam Scott Tops Stacked Leaderboard After Round 2
-
After two rounds, Adam S
Dakika 30 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni