• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 15, 2019

  TIK TAK YA OLIVIER GIROUD JANA CHELSEA 'IKIFA KIUME' UTURUKI

  Olivier Giroud wa Chelsea akibinuka tik tak katikati ya wachezaji wa Liverpool kwenye mchezo wa Super Cup ya UEFA usiku wa jana Uwanja wa Uwanja Vodafone Arena mjini İstanbul, Uturuki. Liverpool ilishinda kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 120 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TIK TAK YA OLIVIER GIROUD JANA CHELSEA 'IKIFA KIUME' UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top