• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 26, 2019

  GRIEZMANN APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA REAL 5-2 LA LIGA

  Mshambuliaji mpya, Antoine Griezmann akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika ya 41 na 50, Barcelona ikiibuka na ushindi wa 5-2 dhidi ya Real Betis kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Carles Perez dakika ya 56, Jordi Alba dakika ya 60 na Arturo Vidal dakika ya 77, wakati ya Betis yamefungwa na Nabil Fekir dakika ya 15 na Loren Moron dakika ya 59 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GRIEZMANN APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA REAL 5-2 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top