Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao matatu dakika za 51, 75 na 90 na ushei katika ushindi wa 5-0 dhidi ya West Ham United Uwanja wa London. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 25 na Sergio Aguero kwa penalti dakika ya 86 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment