• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 23, 2019

  WAZIRI SERIKALI YA MAPINDUZI, ZANZIBAR AWATEMBELEA YANGA SC MAZOEZINI MJINI GABORONE

  Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akiwasabahi wachezaji wa Yanga SC alipowatembelea mazoezini mjini Gaborone, Botswana. Simai ambaye pia ni Mwakilishi wa jimbo la Tunguu, Zanzibar upo Botswana kwa ziara ya kikazi wakati Yanga kesho itamenyana na wenyeji, Township Rollers katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WAZIRI SERIKALI YA MAPINDUZI, ZANZIBAR AWATEMBELEA YANGA SC MAZOEZINI MJINI GABORONE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top