Mshambuliaji mkongwe, Aritz Aduriz akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Athletic Bilbao dakika ya 89 kufuatia kutokea benchi dakika ya 88 kuchukua nafasi ya Williams na kuiwezesha timu yake kuichapa 1-0 Barcelona katika mchezo wa ufunguzi wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa San Mames Barria mjini Bilbao PICHA ZAIDI GONGA HAPA
17-year-old Andreeva wins Indian Wells title
-
17-year-old Mirra Andreeva shocks world number one Aryna Sabalenka 2-6 6-4
6-3 to win the Indian Wells title.
27 minutes ago
0 comments:
Post a Comment