• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 24, 2019

  CHELSEA YA LAMPARD YAZINDUKA ENGLAND, YASHINDA 3-2 UGENINI

  Tammy Abraham akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika ya tatu na 68 katika ushindi wa 3-2 wa Chelsea dhidi ya Norwich kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Carrow Road huo ukiwa ni ushindi wa kwanza wa kocha Frank Lampard tangu aanze kazi. Bao lingine la Chelsea limefungwa na Mason Mount dakika ya 17, wakati mabao ya Norwich yamefungwa na Todd Cantwell dakika ya sita na Teemu Pukki dakika ya 30 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YA LAMPARD YAZINDUKA ENGLAND, YASHINDA 3-2 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top