• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 17, 2019

  REFA AKATAA BAO LA CITY DAKIKA YA MWISHO YATOA 2-2 NA SPURS

  Gabriel Jesus akimlalamikia refa Michael Oliver baada ya kukataa bao lake la dakika ya mwisho, Manchester City ikilazimishwa sare ya 2-2 na Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Oliver alikataa bao hilo baada ya kutazama marudio ya picha za video (VAR) katika mchezo huo ambao mabao ya Man City yalifungwa na Raheem Sterling dakika ya 20 na Sergio Aguero dakika ya 35 na ya Spurs yalifungwa na Erik Lamela dakika ya 23 na Lucas Moura dakika ya 56 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REFA AKATAA BAO LA CITY DAKIKA YA MWISHO YATOA 2-2 NA SPURS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top