• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 23, 2019

  IDDI NADO YUKO FITI KUCHEZA AZAM FC DHIDI YA FASIL KENEMA KESHO CHAMAZI

  Mshambuliaji wa Azam FC, Iddi Suleiman 'Nado' aliyekosekana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii timu ikifungwa 4-2 na Simba SC Jumamosi iliyopita akiwa mazoezini kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Fasil Kenema kesho Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam 
  Beki Mzimbabwe, Bruce Kangwa akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo huo wa marudiano Raundi ya Kwanza 
  Mshambuliaji Muivory Coast, Richard Djodi akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo huo wa marudiano Raundi ya Kwanza 
  Kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo dhidi ya Wahabeshi
  Kocha Mrundi, Etienne Ndayiragijje anataka kuutumia mchezo wa kesho kupoza machungu ya kipigo cha Simba
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: IDDI NADO YUKO FITI KUCHEZA AZAM FC DHIDI YA FASIL KENEMA KESHO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top